Pages

Sunday, 11 March 2012

SHEREHE YA KUMUAGA ADNA KYANDO YAFANA JIJINI MBEYA

Edna kyando akiwa katika pozi  katika ukumbi wa mkapa jijini mbeya

Edna akiwa ma mpambe wake Mrs Maboko

Haki Ngowi akiwa na mchumba wake Edna Kyando

Hakika sherehe ilipendeza sana


Joseph Mwaisango yeye alikua mwenyekiti kamati ya mapambo akipewa zawadi ya keki na bi harusi mtarajiwa

Edna kyando akiwa na mtoto wake kabla ya kwenda ukumbini

1 comment:

Anonymous said...

Edna alipendeza sanaa jamani nilimpeendaga