Pages

Tuesday, 21 February 2012

NAWATAMBULISHA BLOG MPYA YA J. MWAISANGO SASA IPO MTANDAONI KARIBUNI KUITEMBELEA

MR. & MRS. J. MWAISANGO


KWANZA NAPENDA SANA KUWASALIMU NYOTE HABARI ZENU? NATUMAINI YA KWAMBA MTAKUWA NI WAZIMA WA AFYA NJEMA MIMI NA FAMILIA YANGU PIA TUPO SALAMA KABISA. HONGERENI SANA KWA  KAZI NZURI MNAZOFANYA. TUANZE KWA KUJITAMBULISHA  KUWA BLOG YA J.MWAISANGO ITAKUWA INAWALETEA MATUKIO MBALIMBALI YANAYOTOKEA MBEYA NA DUNIANI KOTE NA KUPEANA HABARI NA KUFAHAMIANA KUSAIDIANA  PIA KUIKUZA MBEYA  IFAHAMIKE POTE DUNIANI   TUNAOMBA MSAADA WENU WA KUTUTAMBULISHIA ILI WADAU WOTE WAPATE KUITAMBULISHA BLOG HII TUNATANGULIZA SHUKRANI ZETU
ASANTENI SANA

No comments: