Pages

Tuesday, 18 September 2012

MNAOPENDA NGUMI ZA MITAANI INGIA HAPA UONE VITUKO

NGUMI SASA ZINAANZA KISA SH. 500 TU

DU  JAMAA WAMEANZA KUKABANA 

NGUMI ZINAENDELEA SASA WOTE WAPO CHINI

JAMAA WANAJITAIDI KUWAAMULIA LAKINI WAPI ZINAZIDI KUPAMBA MOTO TU

HEE MAKUBWA WAMESHATUPANA MFEREJINI MIENAONDOKA SASA NAOGOPA KUWA SHAHIDI

HAYA WENGINE HAWA MAKUBWA SINA NENO

MWEE MWEE

WADADA NAO WASHIKANA SIJUI KISA NINI

No comments: