Pages

Wednesday, 19 September 2012

HAYA NDIYO MAISHA YA WATOTO WETU HUKO VIJIJINI

HAPA WAMEBEBA KUNI ZA MATUMIZI YZA NYUMBANI

HAYA TENA SHIDA YA MAJI WATOTO WAMETOKA KUCHOTA MAJI KISIMANI

WENGINE NDIYO WAPO KWENYE BIASHARA YA KUUZA MBOGA AINA YA PANYA

HAWA NI VIONGOZI WA MIAKA IJAYO


HAPA MIMI SISEMI SIJUI ANAWAZA NINI

No comments: