COCACOLA YAMKABIDHI LE MUTUZ ZAWADI YA KOPO LA SODA LENYE JINA LAKE LITAKALOANZA KUUZWA MTAANI KARIBUNI
Moja
ya kopo jipya la soda litakaloanza kuuzwa hivi karibuni madukani
lililotengenezwa na Kampuni ya soda ya Cocacola kama heshima kwa Super
Star wote wa Tanzania wenye ushawishi mkubwa na Jamii akiwemo Le Mutuz
Nation!!
Wawakilishi wa cocacola wakimkabidhi Le Mutuz zawadi ya Kopo la kwanza lenye jina lake leo at downtown bongo!!
No comments:
Post a Comment