Pages

Sunday, 11 March 2012

MTAA KWA MTAA NA J. MWAISANGO

Huu ni mtaa wa joka majengo jijini mbeya

Huu mtaa wengi huuita baby shagazi upo uhindini mbeya

Uswahilini matola mtoto Eric Mwaisango akicheza gololi na wenzie
Jamani mjini kuzuriiiii


Je mnayakumbuka maeneo haya?
West street uhindini mbeya

No comments: