| Edna kyando akiwa katika pozi katika ukumbi wa mkapa jijini mbeya |
| Edna akiwa ma mpambe wake Mrs Maboko |
| Haki Ngowi akiwa na mchumba wake Edna Kyando |
| Hakika sherehe ilipendeza sana |
| Joseph Mwaisango yeye alikua mwenyekiti kamati ya mapambo akipewa zawadi ya keki na bi harusi mtarajiwa |
| Edna kyando akiwa na mtoto wake kabla ya kwenda ukumbini |
1 comment:
Edna alipendeza sanaa jamani nilimpeendaga
Post a Comment