Pages

Sunday, 23 September 2012

WAZAZI MUHIMU KUSAIDIANA KULEA WATOTO

BABA AKIWA NA FURAHA YA KUMSAIDIA MKE WAKE KUMBEBA MTOTO WAO

WATOTO HUFURAHI SANA WANAPOPATA MALEZI MAZURI TOKA WA WAZAZI WAO

HADI RAHA KICHEKO HICHO


WANAPENDEZA




Wednesday, 19 September 2012

HAYA NDIYO MAISHA YA WATOTO WETU HUKO VIJIJINI

HAPA WAMEBEBA KUNI ZA MATUMIZI YZA NYUMBANI

HAYA TENA SHIDA YA MAJI WATOTO WAMETOKA KUCHOTA MAJI KISIMANI

WENGINE NDIYO WAPO KWENYE BIASHARA YA KUUZA MBOGA AINA YA PANYA

HAWA NI VIONGOZI WA MIAKA IJAYO


HAPA MIMI SISEMI SIJUI ANAWAZA NINI

Tuesday, 18 September 2012

WIKI YA USALAMA BARABARANI HIYOOO


IBADA MUHIMU SANA KATIKA MAISHA YA LEO

MR & MRS J.MWAISANGO NA MR&MRS C. MWAKIPESILE


MNAOPENDA NGUMI ZA MITAANI INGIA HAPA UONE VITUKO

NGUMI SASA ZINAANZA KISA SH. 500 TU

DU  JAMAA WAMEANZA KUKABANA 

NGUMI ZINAENDELEA SASA WOTE WAPO CHINI

JAMAA WANAJITAIDI KUWAAMULIA LAKINI WAPI ZINAZIDI KUPAMBA MOTO TU

HEE MAKUBWA WAMESHATUPANA MFEREJINI MIENAONDOKA SASA NAOGOPA KUWA SHAHIDI

HAYA WENGINE HAWA MAKUBWA SINA NENO

MWEE MWEE

WADADA NAO WASHIKANA SIJUI KISA NINI

Monday, 17 September 2012

JAMANI DUNIANI KUNA MAMBO ANGALIA PICHA HIZI

MIE HAPA NAPITA TU

MWEE DUNIANI HAPA PANAVITUKO SIJUI NANI MSHINDI HAPA

NDOA NDOANA MAPEMAAA ZIMEANZA

HARUSI ZA SIKU HIZI

TUWACHAGULIE WAPENZI WETU HAKUNA KUONA SOO

MDAU WANGU KAZIDIWA

Sunday, 11 March 2012

SHEREHE YA KUMUAGA ADNA KYANDO YAFANA JIJINI MBEYA

Edna kyando akiwa katika pozi  katika ukumbi wa mkapa jijini mbeya

Edna akiwa ma mpambe wake Mrs Maboko

Haki Ngowi akiwa na mchumba wake Edna Kyando

Hakika sherehe ilipendeza sana


Joseph Mwaisango yeye alikua mwenyekiti kamati ya mapambo akipewa zawadi ya keki na bi harusi mtarajiwa

Edna kyando akiwa na mtoto wake kabla ya kwenda ukumbini

MTAA KWA MTAA NA J. MWAISANGO

Huu ni mtaa wa joka majengo jijini mbeya

Huu mtaa wengi huuita baby shagazi upo uhindini mbeya

Uswahilini matola mtoto Eric Mwaisango akicheza gololi na wenzie
Jamani mjini kuzuriiiii


Je mnayakumbuka maeneo haya?
West street uhindini mbeya